Tanzania Native Anthem Text
National Anthem
1.
Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
Chorus:
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.
2.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Chorus:
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.
Sent by Carlos Andrй Pereira da Silva Branco
Share
More from National Anthem
Bangladesh Anthem Text
National Anthem
Albania Anthem Native Text
National Anthem
A Soldiers Song
National Anthem
Uganda Anthem
National Anthem
The Star-Spangled Banner (USA Anthem)
National Anthem
Spain National Anthem - Proposed January 2008
National Anthem
Colombia Native Anthem Text
National Anthem
Fratelli D'Italia
National Anthem
La Borique\u00f1a
National Anthem
China National Anthem
National Anthem
Russian Federation National Anthem
National Anthem
French Canadian Anthem Text
National Anthem
Germany Anthem
National Anthem
United Kingdom Anthem Text
National Anthem
Mexican National Anthem
National Anthem
Jana Gana Mana
National Anthem
O Canada (Canadian National Anthem)
National Anthem
El Salvador
National Anthem
Zambia Anthem Text
National Anthem
Indonesian National Anthem
National Anthem